BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Hizi jezi mpaka nimesimumuka ngoja tusubiri copy za kariakoo tuanze kuvimba nazo in fact jezi kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi jezi mpaka nimesimumuka ngoja tusubiri copy za kariakoo tuanze kuvimba nazo in fact jezi kali sana
Mimi nimeacha kuchukua za bongo coz nyingi feki wanaweka uzito wa kuzugia na Vitone tone kwa mbali, nikitaka Jezi now bora nikachukue zenyewe OG .Niliwahi ingia website ya Spurs nikakuta Jezi ni laki 4 Og ya chini yake kama laki mbili hivi hapo ndio nakujua huku tunapigwa .Hizi jezi mpaka nimesimumuka ngoja tusubiri copy za kariakoo tuanze kuvimba nazo in fact jezi kali sana
OG gharama mkuu wacha tuishi na jezi zetu fake siku pochi ikinona tutaishi na OGMimi nimeacha kuchukua za bongo coz nyingi feki wanaweka uzito wa kuzugia na Vitone tone kwa mbali, nikitaka Jezi now bora nikachukue zenyewe OG .Niliwahi ingia website ya Spurs nikakuta Jezi ni laki 4 Og ya chini yake kama laki mbili hivi hapo ndio nakujua huku tunapigwa .
Uzi wa maana kabisa.Arsenal home kitView attachment 2991419
Mzee hizi za kariakoo Kuna zingine nzito inategemea uchaguzi wako ukienda kununua usimsikilize muuzaji angalia mzigo nakuhakikishia utapata nzito kama zinazouzwa kwenye maduka ya clubMimi nimeacha kuchukua za bongo coz nyingi feki wanaweka uzito wa kuzugia na Vitone tone kwa mbali, nikitaka Jezi now bora nikachukue zenyewe OG .Niliwahi ingia website ya Spurs nikakuta Jezi ni laki 4 Og ya chini yake kama laki mbili hivi hapo ndio nakujua huku tunapigwa .
Watu wanatoa Jezi Man City wao wanatoa Vitenge!
Kaliii sana yaani
Uzi wa arsenal na Dortmund ni nomaTukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali.
Karibu...
Uzi makini sana ngoja ufike nikauchukue
𝐔𝐙𝐈 𝐔𝐌𝐄𝐓𝐔𝐋𝐈𝐀 𝐕𝐈𝐙𝐔𝐑𝐈Uzi makini sana ngoja ufike nikauchukue
Kaliii sana yaani