Castore wanakuja vizuri ,Jezi za Newcastle Msimu huu zimekimbiza sana town haswa zile za kijani.Wolves chini ya kampuni ya Castore hawana kelele nyingi ila wanatoa jezi kali sana🔥🔥🔥
Wako vizuri sana, kwa mtazamo wangu wanawazidi hata Nike kwa siku za karibuniCastore wanakuja vizuri ,Jezi za Newcastle Msimu huu zimekimbiza sana town haswa zile za kijani.
Nakazia mkuuMbaya kuwahi kutokea katima simimu ya karibuni ,haswa kola ni kubwa sana.
Nasuburi Arsenal
Arsenal home kitNasuburi Arsenal