cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
The citizens haya madekio ni ya nn? Kulewa ubingwa au?Man City home kitView attachment 2991623
Jamani wabadili haraka, kabla msimu haujaanza mxxxxiiiiieeeew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The citizens haya madekio ni ya nn? Kulewa ubingwa au?Man City home kitView attachment 2991623
Wameuaaaaa!!! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii ya kutambaa nayo mtaani, na mauzo kabisaaaJamaica home kit ahead of Copa AmericaView attachment 2997646
Hii ntaitafuta, iko unique mnoo. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Bologna home kitView attachment 2997673
Jezi bayaa km nn, khaaaahHuu Uzi kama kweli utakimbiza maana Arsenal kitu cha njiano wanajua kukipatia hawakoseagi.View attachment 2997949
Huu uzi wa moto mwaisa
@cr7sportswear wacheki insta hao jamaaWakuu kwa hapa daslam natapata wapi huu uzi wa arsenal wenye unafuu na sio lonyalonya.
Maana sisi wengine kuchagua mavazi og tuna F yaani mswaki kabisa
Duka gani nikienda sitokuta lonyalonya ambalo walau linaaminika tulitumie tusiojua ukali.
Barikiwa@cr7sportswear wacheki insta hao jamaa