Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Usisahau Jezi ya Echolima kaka.
Huu uzi utakuwa hotcake sana kwa wadadaJuventus away kitView attachment 3595360
Adidas ndio wanaongoza kutoa vyumaMsimu huu team zinatoa Jezi kalii sanaa, yaan mnoo.
Hii jezi huwa ni icon ya timu. Mabadiliko yake huwa hayazidi 10%
Hii idea ni nzuri kuliko jezi wanazotumia Chelsea msimu huu 2026/27Possible Chelsea new home kitView attachment 3588477
Nzuri sana. Ingewafaa Chelsea msimu huuPossible Chelsea away kitView attachment 3588478