Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

Correction, Man City away ni hii jamani
IMG_3550.JPG
 
Mkuu hata me najua ivyo aisee...maana ukiangalia jez wanayovaa mbele ukiangalia zimefanana almost kila kitu kwnzia kola, mikono nembo ya adidas au puma, huku pemben kama za man utd zimeandikw treble kila kitu yaahn na ubora sio haba yahn......hizo OG za 250k sijui nitazione kwa nan nizipime!

Vitambaa vinatofautiana, na lebel zake pia ziko tofauti.

 
Back
Top Bottom