Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

In term of design, Adidas sio wazuri ukilinganisha na Puma. Hata Puma in term of quality sio wazuri ukilinganisha Adidas.

Nike wapo vizuri sana upande wa vifaa hasa viatu. Lakini Adidas kwa ubora wa vifaa ndio wapo na material nzuri.

Designer mkuu wa jezi za Adidas Bw. Paul Belegarzt ilifikia kipindi anafanya ubunifu wa jezi 16, lazima utumie resource yote kichwani, tofauti na Puma ambao kila timu inawakilishwa na designer wawili.
Nasapoti maandiko yako 100% , puma wako vizuri sana kwenye kudesign hawajawahi kutoa jezi mbovu tokae niwafahamu
 
Arsenal wana mbwembwe
IMG_3523.JPG
 
Back
Top Bottom