Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

Aaaahhh mkuu ko hizi zetu za 22k jau sio.?

Piga hesabu ni sh ngap za kibongo
Adjustments.JPG
 
Huwa nacheka sana mtu anakwambia jezi og kwa 25k au 30k
Mkuu hata me najua ivyo aisee...maana ukiangalia jez wanayovaa mbele ukiangalia zimefanana almost kila kitu kwnzia kola, mikono nembo ya adidas au puma, huku pemben kama za man utd zimeandikw treble kila kitu yaahn na ubora sio haba yahn......hizo OG za 250k sijui nitazione kwa nan nizipime!
 
Uzi wa Man Utd utakuwa sokoni kuanzia August 4, ila bado haujanivutia, Adidas wanakwama wapi sijui?View attachment 1523982
In term of design, Adidas sio wazuri ukilinganisha na Puma. Hata Puma in term of quality sio wazuri ukilinganisha Adidas.

Nike wapo vizuri sana upande wa vifaa hasa viatu. Lakini Adidas kwa ubora wa vifaa ndio wapo na material nzuri.

Designer mkuu wa jezi za Adidas Bw. Paul Belegarzt ilifikia kipindi anafanya ubunifu wa jezi 16, lazima utumie resource yote kichwani, tofauti na Puma ambao kila timu inawakilishwa na designer wawili.
 
Asante elimu nzuri
 
Back
Top Bottom