Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Watu wanaongea sn ila ukweli ni kwamba jezi za man u za mwaka huu ni kali kuliko za mwaka jana, hasa hasa walichoharibu mwaka jana ni ile logo kuwa nyeusi, but ya mwaka huu kali.OFFICIAL: Manchester United 2020/21 Home Kit.View attachment 1526694
Madini ya JFIn term of design, Adidas sio wazuri ukilinganisha na Puma. Hata Puma in term of quality sio wazuri ukilinganisha Adidas.
Nike wapo vizuri sana upande wa vifaa hasa viatu. Lakini Adidas kwa ubora wa vifaa ndio wapo na material nzuri.
Designer mkuu wa jezi za Adidas Bw. Paul Belegarzt ilifikia kipindi anafanya ubunifu wa jezi 16, lazima utumie resource yote kichwani, tofauti na Puma ambao kila timu inawakilishwa na designer wawili.
Hii mbona kama nguo ya mtumba [emoji23][emoji23][emoji23]Man City awaykitView attachment 1526285
Imetokana na hali ya sasa ya dunia yenye virusi na bakteria, ukiangalia kwa makini unaona michoro kolezo yenye kuashilia virusi na bakteria.Hii mbona kama nguo ya mtumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mbona kama nguo ya mtumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiongoziii, tupia jezi za Argentina, Boca juniors and Newell's old boys.
West Bromwich away kitView attachment 1525054
Arsenal ndo wenye Uzi bora kuliko woteArsenal home kitView attachment 1522742