Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

In term of design, Adidas sio wazuri ukilinganisha na Puma. Hata Puma in term of quality sio wazuri ukilinganisha Adidas.

Nike wapo vizuri sana upande wa vifaa hasa viatu. Lakini Adidas kwa ubora wa vifaa ndio wapo na material nzuri.

Designer mkuu wa jezi za Adidas Bw. Paul Belegarzt ilifikia kipindi anafanya ubunifu wa jezi 16, lazima utumie resource yote kichwani, tofauti na Puma ambao kila timu inawakilishwa na designer wawili.
Madini ya JF
 
Hii mbona kama nguo ya mtumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Imetokana na hali ya sasa ya dunia yenye virusi na bakteria, ukiangalia kwa makini unaona michoro kolezo yenye kuashilia virusi na bakteria.

Au naona vibaya?
 
Jezi za Man Utd kabla ya mechi (Warm up kit)
IMG_3560.JPG
 
Back
Top Bottom