Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #281
Hii 🤮🚮🚮Wolves away kittView attachment 1552101View attachment 1552102
[emoji8][emoji8][emoji8]Arsenal home kitView attachment 1522742
Jezi kali sana hiiArsenal home kitView attachment 1522742
Katika vitu Yanga wamechemsha ni hili la jeziSimba na Yanga hawajui timing za biashara,wiki hizi za matukio yao muhimu ya kila mwaka ndio ilikuwa ya kuuza jezi.
Simba na Yanga ni mapacha waliofanana,wanatofautiana rangi.
Young Africans home kit
Acha ituue, tumeipenda wenyeweYoung Africans home kitView attachment 1555224
Viongozi wetu walichemka kwa kutokutuuzia jezi mpya mashabiki before siku ya wananchi, sikumaanisha kuchemka kwenye jezi za wachezajiYoung Africans home kitView attachment 1555224
Ulinishangaza uliposema jezi za Yanga hovyo wkt ndiyo jezi kali na iliyouzika zaidi Tz kwa mwaka huu, ukitaka kuamini fanya research ndogo tu ndg tu anza kuangalia wavaa jezi kuanzia asbh mpk jioni utaamini nnayokuambia.Acha ituue, tumeipenda wenyewe
Hiyo ni kweli, afu hizo nilizoweka co mpya, zile mpya ni kali sn aloo.Viongozi wetu walichemka kwa kutokutuuzia jezi mpya mashabiki before siku ya wananchi, sikumaanisha kuchemka kwenye jezi za wachezaji
Hakuna sehemu nimeandika jezi za yanga ni hovyo, angalia post niliyoiquote, aliyeandika aliniandika nini na mimi nikacoment niniUlinishangaza uliposema jezi za Yanga hovyo wkt ndiyo jezi kali na iliyouzika zaidi Tz kwa mwaka huu, ukitaka kuamini fanya research ndogo tu ndg tu anza kuangalia wavaa jezi kuanzia asbh mpk jioni utaamini nnayokuambia.
Af kingine ni kwamba hz jezi zinawapendeza sn wadada.