Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

Real Madrid third kit
IMG_3873.JPG
IMG_3874.JPG
 
Adidas nyie acha tu mnatoa.majezi mabaya kwa man u ila timu zingine mnafyatua kitu iliyotulia.

Wakuu napata wapi jezi ya Sheffield?
 
Acha ituue, tumeipenda wenyewe
Ulinishangaza uliposema jezi za Yanga hovyo wkt ndiyo jezi kali na iliyouzika zaidi Tz kwa mwaka huu, ukitaka kuamini fanya research ndogo tu ndg tu anza kuangalia wavaa jezi kuanzia asbh mpk jioni utaamini nnayokuambia.

Af kingine ni kwamba hz jezi zinawapendeza sn wadada.
 
Viongozi wetu walichemka kwa kutokutuuzia jezi mpya mashabiki before siku ya wananchi, sikumaanisha kuchemka kwenye jezi za wachezaji
Hiyo ni kweli, afu hizo nilizoweka co mpya, zile mpya ni kali sn aloo.
 
Ulinishangaza uliposema jezi za Yanga hovyo wkt ndiyo jezi kali na iliyouzika zaidi Tz kwa mwaka huu, ukitaka kuamini fanya research ndogo tu ndg tu anza kuangalia wavaa jezi kuanzia asbh mpk jioni utaamini nnayokuambia.

Af kingine ni kwamba hz jezi zinawapendeza sn wadada.
Hakuna sehemu nimeandika jezi za yanga ni hovyo, angalia post niliyoiquote, aliyeandika aliniandika nini na mimi nikacoment nini
 
Back
Top Bottom