Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #121
Aaaahhh mkuu ko hizi zetu za 22k jau sio.?
Mkuu hata me najua ivyo aisee...maana ukiangalia jez wanayovaa mbele ukiangalia zimefanana almost kila kitu kwnzia kola, mikono nembo ya adidas au puma, huku pemben kama za man utd zimeandikw treble kila kitu yaahn na ubora sio haba yahn......hizo OG za 250k sijui nitazione kwa nan nizipime!Huwa nacheka sana mtu anakwambia jezi og kwa 25k au 30k
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji7][emoji7][emoji7]Man City home kitView attachment 1522761
uzi ama kanga kavuNasikia simba wanatambulisha Uzi wao kesho kwenye mechi na Namungo
Nasikia madela ya Utopolo CCM wanataka wayatumie wakt wa kampeniuzi ama kanga kavu
Jezi ya Kuvaa Ukweni Kabsa hii[emoji91][emoji91]Arsenal home kitView attachment 1522742
Jezi ya Kuvaa Ukweni Kabsa hii[emoji91][emoji91]
Man City Away kit kama mashati ya Mwenge?
Uzi mkali, tuwekee na uzi wa watoto wa Mbagala (Villa)[emoji3][emoji3]
In term of design, Adidas sio wazuri ukilinganisha na Puma. Hata Puma in term of quality sio wazuri ukilinganisha Adidas.Uzi wa Man Utd utakuwa sokoni kuanzia August 4, ila bado haujanivutia, Adidas wanakwama wapi sijui?View attachment 1523982
In term of design, Adidas sio wazuri ukilinganisha na Puma. Hata Puma in term of quality sio wazuri ukilinganisha Adidas.
Nike wapo vizuri sana upande wa vifaa hasa viatu. Lakini Adidas kwa ubora wa vifaa ndio wapo na material nzuri.
Designer mkuu wa jezi za Adidas Bw. Paul Belegarzt ilifikia kipindi anafanya ubunifu wa jezi 16, lazima utumie resource yote kichwani, tofauti na Puma ambao kila timu inawakilishwa na designer wawili.
Hizo zinafyatuliwa tu uswekeniAaaahhh mkuu ko hizi zetu za 22k jau sio.?
Huu uzi wa Manchester United ni uzi umekaa poa sana yaani mkuuUzi wa Man Utd utakuwa sokoni kuanzia August 4, ila bado haujanivutia, Adidas wanakwama wapi sijui?View attachment 1523982