Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hizi kits ni "official" au ni maoni yako?Msimu ujao haupo mbali sana, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwajili ya msimu unaofata. Uzi huu utakuwa unatoa updates za jezi hizo mpya, huku tukitoa max zetu kuhusu jezi nzuri na mbaya!
Soon naanza kuweka jezi hizo kadri ninavyopata picha husika...