Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Uzi tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu ni hiyo picha ya mwisho hapo.
Ahahahahah mkuu chagua moja hapoMuhimu ni hiyo picha ya mwisho hapo.
Back to BackSimba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Kwani msimu huu nao bingwa anateuliwa kama msimu uliopita?Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Ndio anateuliwa kwa maana hakuna wa kushindana nae Africa na Dunia kwa ujumla.Kwani msimu huu nao bingwa anateuliwa kama msimu uliopita?
Manara amewaharibu akili kweli kweli. Pale mwenye akili Mzee Kilomoni tu, na hata mpira wenyewe anajua unavyochezwa, mliobaki ni wafuasi wa mhindiNdio anateuliwa kwa maana hakuna wa kushindana nae Africa na Dunia kwa ujumla.
Simba nguvu moja
Sawa Mzee AkilimaliManara amewaharibu akili kweli kweli. Pale mwenye akili Mzee Kilomoni tu, na hata mpira wenyewe anajua unavyochezwa, mliobaki ni wafuasi wa mhindi
Ingekuwa ubingwa unapatikana kwa kuupepeta mdomo kama anavyofanya Manara na mbumbumbu wengine, saa hizi 5imba ingekuwa bingwa mara 29Sawa Mzee Akilimali
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Sawa Mzee Akilimali mimi nimekuelewa sana tu.Ingekuwa ubingwa unapatikana kwa kuupepeta mdomo kama anavyofanya Manara na mbumbumbu wengine, saa hizi 5imba ingekuwa bingwa mara 29