Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mmmmh. Isijekua Mtani we ndio Manara sababu si kwa kauli hii.Ndio anateuliwa kwa maana hakuna wa kushindana nae Africa na Dunia kwa ujumla.
Simba nguvu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh. Isijekua Mtani we ndio Manara sababu si kwa kauli hii.Ndio anateuliwa kwa maana hakuna wa kushindana nae Africa na Dunia kwa ujumla.
Simba nguvu moja
Msimu wa Ligi unakaribia jirani naona Simba kuna jezi hadi za pinki mwaka huu. 😅😅😅Nguvu moja jirani[emoji1491][emoji1491][emoji3]
Hiyo Picha ya tatu hapo naona kama Simba tunatoka kwenye reli. Miaka nenda, miaka rudi Simba tunatumiaga Red and White, hiyo Blue hapo inafuata nini??
Nini maana ya Third KitHiyo Picha ya tatu hapo naona kama Simba tunatoka kwenye reli. Miaka nenda, miaka rudi Simba tunatumiaga Red and White, hiyo Blue hapo inafuata nini??
Kuchamba kwingi, kutoka na mav!, tutaanza kuokoteza okoteza rangi za ajabu ajabu mwisho tutajikuta tumeangukia kwenye zile rangi-ovu zinazotumiwa na wale waovu.
😁😁😁NinomaHyo namba 6.nina mashaka nayo.
Sema wewe Mkuu sababu ni Nguvu moja mwenzao.Hiyo Picha ya tatu hapo naona kama Simba tunatoka kwenye reli. Miaka nenda, miaka rudi Simba tunatumiaga Red and White, hiyo Blue hapo inafuata nini??
Kuchamba kwingi, kutoka na mav!, tutaanza kuokoteza okoteza rangi za ajabu ajabu mwisho tutajikuta tumeangukia kwenye zile rangi-ovu zinazotumiwa na wale waovu.
Hahahaa. Pacha mie mniandalie hela tu jumapili nikanunue uzi wa Yanga kwenye kilele cha Wiki ya wananchi maana hizo siezi vaa jamaani.
United wana pink pia jirani japo wao ni red in natureMsimu wa Ligi unakaribia jirani naona Simba kuna jezi hadi za pinki mwaka huu. [emoji28][emoji28][emoji28]
Ama kweli kuiga iga kubaya mwishowe mtashonewa hadi kama zile za Brazil [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hiyo Picha ya tatu hapo naona kama Simba tunatoka kwenye reli. Miaka nenda, miaka rudi Simba tunatumiaga Red and White, hiyo Blue hapo inafuata nini??
Kuchamba kwingi, kutoka na mav!, tutaanza kuokoteza okoteza rangi za ajabu ajabu mwisho tutajikuta tumeangukia kwenye zile rangi-ovu zinazotumiwa na wale waovu.
Hahahaaa. Basi ntakupa mie pacha. We ulizia bei tu kisha nambie. 😀😀😀Hiyo ela ya kukununulia jezi ya yanga bora nikabeti pacha 😂😂
Mmh. Haya niwatakie kila la kheri jirani kwenye kuja kuongeza wenye rangi ya manjano huko mbeleni. Teh teh.United wana pink pia jirani japo wao ni red in nature
Mtani nilibanikwa pamoja na Gentamycin kama miezi miwili mitatu hivi 😂😂 ila sio inshu sana niko twitterNimeona Mtani. Japo mnakoelekea ile nyekundu mtaiacha.
Ila uliadimika sana kulikoni?
Hahaaa. Pole sana Mtani.Mtani nilibanikwa pamoja na Gentamycin kama miezi miwili mitatu hivi 😂😂 ila sio inshu sana niko twitter
Lol! nani huyo mtani humu nimefunguliwa kama siku tatu tu zilizopita nimekuta vurugu sana ama kweli nimepitwa na mengi tunahuzunika tu na ndugu yangu GENTAMYCINEHahaaa. Pole sana Mtani.
Kuna Id bana niliiona inafanana na wewe humu. 😎😎
Ngoja niisake Mtani kisha ntakwambia mana jina lishantoka. 😀😀.Lol! nani huyo mtani humu nimefunguliwa kama siku tatu tu zilizopita nimekuta vurugu sana ama kweli nimepitwa na mengi tunahuzunika tu na ndugu yangu GENTAMYCINE