Jezi mpya za timu mbalimbali kwa msimu ujao 2021/2022

Hii ni special, japo ni ya timu ya Taifa ila kutokana na uzuri wake nimeona niiweke.

katika kuazimisha miaka 100 ya chama cha soka cha Japan, Adidas wakatengeneza jezi hii maalum! Naipa 10/10 yaaani🔥🔥🔥itoshe kusema ni ya kibabe sana💪🏻💪🏻💪🏻

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…