Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Msimu huu mpya Yanga wamekuja na jezi mpya na nzuri..View attachment 1170274
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muhimu. Msalaba ni ishara ya ushindi hivyo designer amefanya kwa malengo mahususiMbona zina msalaba!!!
Ngoja tutoke kusali..Ni muhimu. Msalaba ni ishara ya ushindi hivyo designer amefanya kwa malengo mahususi
Mkuu msalaba uko wapi? Kwann watanzania hatuna uelewa mpana wa kutofautisha vitu vidogo?Mbona zina msalaba!!!
Mkuu huna macho!?Mkuu msalaba uko wapi? Kwann watanzania hatuna uelewa mpana wa kutofautisha vitu vidogo?
Shabiki wa mikia huyo lazima hakosoe achana naeMkuu msalaba uko wapi? Kwann watanzania hatuna uelewa mpana wa kutofautisha vitu vidogo?
Msimu huu mpya Yanga wamekuja na jezi mpya na nzuri..View attachment 1170274View attachment 1170275
Nilikua natafuta dekio nishalipataMsimu huu mpya Yanga wamekuja na jezi mpya na nzuri..View attachment 1170274View attachment 1170275
Sisi tunaSWALI hatuSALINgoja tutoke kusali..