Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Hivi macho yako yanaona kama mimi au macho yako yanaona kama mimiii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei sh ngapi mkuuFanya hima mzigo unaisha maana wananchi wanaipenda team yao
Mtani Zipo size mbalimbali hivyo atapata tu.
Hahaaaa. Ndioooo Mtani. 😎😎
Sio matatizo kwenye ukweli tuongee sie jezi zetu tumezingua, jezi ukiangalia kwa mbali unaona kama msalaba bhana, hili nalo lakubishana hongereni simba jezi zenu mzuriUnamatatizo makubwa sana, pole
Sio matatizo kwenye ukweli tuongee sie jezi zetu tumezingua, jezi ukiangalia kwa mbali unaona kama msalaba bhana, hili nalo lakubishana hongereni simba jezi zenu mzuri
Tafuta maduka yote ya madera hapa mjini huwezi kuta dera la njano,meekundu ndio yamejaaHoyaaaa njooooni huku madela ya Kwenye vigodoro yametoka tayri
Nimejikuta nacheka Mtani na hii post yako.