Jezi mpya za yanga ni nzuri

Jezi mpya za yanga ni nzuri

Ama kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu😂😂😂

Team mbovu,jezi mbovu....pacha huku kwetu bado nafasi zipo 😅
Mtuwache pacha sababu mwisho wa siku wadhungu wanasema "vice versa is true" 💃💃💃
 
Nilikua natafuta dekio nishalipata
Kama sie tulivyopata sare za kuuzia vinywaji vya MO,zile mnazoziita jezi zenye rangi pendwa kwa jinsia ya KE(pink) na zile zenye rangi ya kenge!
 
Back
Top Bottom