Jezi mpya za yanga ni nzuri

Haya Makavelo hata bure hapana
Nimejikuta nacheka Mtani na hii post yako. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Eti Makavelo lol. "Hapa ndio naamini kila mwamba ngoma ni lazima avutie kwake"
 
Ama kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Team mbovu,jezi mbovu....pacha huku kwetu bado nafasi zipo πŸ˜…
Mtuwache pacha sababu mwisho wa siku wadhungu wanasema "vice versa is true" πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Nilikua natafuta dekio nishalipata
Kama sie tulivyopata sare za kuuzia vinywaji vya MO,zile mnazoziita jezi zenye rangi pendwa kwa jinsia ya KE(pink) na zile zenye rangi ya kenge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…