Jezi mpya za yanga ni nzuri

Hivi macho yako yanaona kama mimi au macho yako yanaona kama mimiii.
 
Unamatatizo makubwa sana, pole
Sio matatizo kwenye ukweli tuongee sie jezi zetu tumezingua, jezi ukiangalia kwa mbali unaona kama msalaba bhana, hili nalo lakubishana hongereni simba jezi zenu mzuri
 
Sio matatizo kwenye ukweli tuongee sie jezi zetu tumezingua, jezi ukiangalia kwa mbali unaona kama msalaba bhana, hili nalo lakubishana hongereni simba jezi zenu mzuri

Ok, huo msalaba sisi wengine hatuuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…