Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024 na zitauzwa kwa Tsh 50,000/= tu.
"Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi wamejiuliza je hatuna jezi mpya msimu huu? Niwaambie Wananchi jezi mpya za ligi ya mabingwa zipo tayari na zitazinduliwa tarehe 20"
"Jezi hizi zitauzwa shilingi elfu 50, Safari hii hatuna bei ya jumla tuna bei ya rejareja, Jezi hizi zitauzwa hapa Makao Makuu Jangwani na katika maduka yote ya GSM Malls"
Soma: Ali Kamwe aupakulia minyama Uongozi wa Yanga kwa kumleta Ramovic