Jezi mpya za Yanga za Klabu Bingwa kuzinduliwa Novemba 20

Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024 na zitauzwa kwa Tsh 50,000/= tu.
View attachment 3153741
"Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi wamejiuliza je hatuna jezi mpya msimu huu? Niwaambie Wananchi jezi mpya za ligi ya mabingwa zipo tayari na zitazinduliwa tarehe 20"

"Jezi hizi zitauzwa shilingi elfu 50, Safari hii hatuna bei ya jumla tuna bei ya rejareja, Jezi hizi zitauzwa hapa Makao Makuu Jangwani na katika maduka yote ya GSM Malls"

Soma: Ali Kamwe aupakulia minyama Uongozi wa Yanga kwa kumleta Ramovic
Inawezekana yan

Kuna jambo moja kwenye jezi mpya za yanga wengi hawajaliona, inawezekana msimu huu yanga wakafanya vizuri sana kimataifa sitashangaa kabisa ndani nje wakafanya vizuri sana, kuna mkataba naona pale kwenye jezi japo sio mzuri kuna herufi M imeongezwa pale katikati ya kifua watu wanachukulia poa tu, kuna gari moja mercedez anayo huyu godlove anatamba yao, nembo ya mercedeze inajulikana kama nyota flani hv lkn sasa kuna hyo gari mpya kali ile nembo pale mbele imebadilika imekuwa Kama M m,hii gari ya bei mbaya sana na inafanya vzur sna sokoni makataba huoo, makampuni mengi sasa hv kuna mabadoliko ya nembo zao kiujanja flani hv ila ndio mikataba yenyewe .
 
Back
Top Bottom