GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tukutane Saa 4 Kamili Usiku baadae. Na leo wana Yanga SC mtanikoma Kudadadeki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewakana tenaTukutane Saa 4 Kamili Usiku baadae. Na leo wana Yanga SC mtanikoma Kudadadeki.
Nilikuwa nawasanifu tu Wapuuzi kama Wewe. Poleni kwa Kipigo. Vipi Unbeaten Record iendelee au?Mbona unajosahaulisha na ule Uzi wako ulisema Yanga anashinda goli 9?
Hongera wewe na OKW BOBAN SUNZUTukutane Saa 4 Kamili Usiku baadae. Na leo wana Yanga SC mtanikoma Kudadadeki.
Hata kukomaa nani?? Sasa kwani wewe nani??na iwaje?? Amekutuma nani?? Unamtishia nani?? Nitakukata kata na viwembe??Tukutane Saa 4 Kamili Usiku baadae. Na leo wana Yanga SC mtanikoma Kudadadeki.
Buroo punguza asiraHata kukomaa nani?? Sasa kwani wewe nani??na iwaje?? Amekutuma nani?? Unamtishia nani?? Nitakukata kata na viwembe??
Angalu simba ingekuwa na ubora ningesema Ila simba hii Bado ni mbovu hata Kama yanga akipoteza game nyingine bado uwezekano wa simba kuwa bingwa ni mdogo Sana
Naitunza post hii kwa matumizi ya mwisho wa msimu.Angalu simba ingekuwa na ubora ningesema Ila simba hii Bado ni mbovu hata Kama yanga akipoteza game nyingine bado uwezekano wa simba kuwa bingwa ni mdogo Sana
Mkuu narudia tena... Msimu huu Simba ni bingwa....Angalu simba ingekuwa na ubora ningesema Ila simba hii Bado ni mbovu hata Kama yanga akipoteza game nyingine bado uwezekano wa simba kuwa bingwa ni mdogo Sana
Mimi nimesha i-screen shotNaitunza post hii kwa matumizi ya mwisho wa msimu.
Itakuteka mzee nikupeleke mombasaBuroo punguza asira