Jezi nyeusi ya Yanga ni tofauti na zile za Azam na Mbeya city

Jezi nyeusi ya Yanga ni tofauti na zile za Azam na Mbeya city

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama ukivaa nguo nyeusi kama walivyofanya Azam na Mbeya city.

Msirudie tena kavaa hivyo
 
Kmc nao eti wanayo nyeusi dhidi ya thimba
 
Tumepitia mengi mkuu
Unakumbuka kua tulikua na Molinga, halafu Yikpe, Kisha Sarpong kama forward
Tulipata tabu sana
Acha tupumzike
Enzi hizo utawasikia watangazaji wa Azam tv; "Sarpoooooong!!! Kakosaaa!! 😃😃
 
Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama ukivaa nguo nyeusi kama walivyofanya Azam na Mbeya city.

Msirudie tena kavaa hivyo
Kwani wenye mganguzi na imani zako za kiganguziii,🤔
 
Hata mtibwa sugar wameshona sare nyeusi lakini waaapi.
 
Jezi nyeusi ni za Yanga tu, vitimu vingine vikithubutu kuvaa vitaaibika tu
 
Na mtibwa wakavaa nyeusi.....akili ya kijuha kabisa
Yanga inawafungà kutokana na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi, sio jezi yake nueusi, Yanga kufungwa na IHEFU iliyovaa jezi nyeusi ndio chimbuko la imani hii ya jezi nyeusi, Yanga imeweka rekodi nyingine kwenye jezi,
 
Nimeshangaa sana jana Mtibwa kavaa jezi nyeusi na sikumbuki ni lini nimeona mtibwa akiwa amevaa jezi nyeusi kwenye mechi, Nimekubali hizi timu zimeingia kwenye mtego wa kipumbavu kweli yani kwamba jezi nyeusi anazovaa yanga ndio zinaipa ushindi🤣🤣 Tahaira pekee ndiye anayeweza kuamini upuuzi wa namna iyo,,,ushindwe kufanya usajiri makini alafu ukae kuendekeza imani za kipimbi kama izo unaweza kushuka daraja mamaee
 
Nimeshangaa sana jana Mtibwa kavaa jezi nyeusi na sikumbuki ni lini nimeona mtibwa akiwa amevaa jezi nyeusi kwenye mechi, Nimekubali hizi timu zimeingia kwenye mtego wa kipumbavu kweli yani kwamba jezi nyeusi anazovaa yanga ndio zinaipa ushindi🤣🤣 Tahaira pekee e anayeweza kuamini upuuzi wa namna iyo,,,ushindwe kufanya usajiri makini alafu ukae kuendekeza imani za kipimbi kama izo unaweza kushuka daraja mamaee
Wamenasa kwenye mtego wa Yanga. Hii ni kudhihilisha kuwa timu zetu zinatumia ushirikina kwenye mechi zao. Haziamini sayansi ya mpira.
 
Back
Top Bottom