Baada ya mechi kasema Yanga haizuiliki yaani ni rahisi kuizuia gari lisilo na breki kilimani kuliko kuizuia Yanga hii.Msemaji wa azam baada ya kutangulia kwa goli moja alionekana anasema " sisi sio levo yao" sijajua baada ya mechi ameongea nini
Inawezekana alikuwa sahihi kwamba wao level yao ni ndondoMsemaji wa azam baada ya kutangulia kwa goli moja alionekana anasema " sisi sio levo yao" sijajua baada ya mechi ameongea nini
Tumepitia mengi mkuuIla Yanga ya hii misimu miwili ni tamu aisee!! Yaani hujutii kuishabakia. Ni mwendo tu wa kutembeza vichapo.
Enzi hizo utawasikia watangazaji wa Azam tv; "Sarpoooooong!!! Kakosaaa!! 😃😃Tumepitia mengi mkuu
Unakumbuka kua tulikua na Molinga, halafu Yikpe, Kisha Sarpong kama forward
Tulipata tabu sana
Acha tupumzike
Kwani wenye mganguzi na imani zako za kiganguziii,🤔Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama ukivaa nguo nyeusi kama walivyofanya Azam na Mbeya city.
Msirudie tena kavaa hivyo
[emoji23][emoji23]Hata mtibwa sugar wameshona sare nyeusi lakini waaapi.
Yanga inawafungà kutokana na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi, sio jezi yake nueusi, Yanga kufungwa na IHEFU iliyovaa jezi nyeusi ndio chimbuko la imani hii ya jezi nyeusi, Yanga imeweka rekodi nyingine kwenye jezi,Na mtibwa wakavaa nyeusi.....akili ya kijuha kabisa
Wamenasa kwenye mtego wa Yanga. Hii ni kudhihilisha kuwa timu zetu zinatumia ushirikina kwenye mechi zao. Haziamini sayansi ya mpira.Nimeshangaa sana jana Mtibwa kavaa jezi nyeusi na sikumbuki ni lini nimeona mtibwa akiwa amevaa jezi nyeusi kwenye mechi, Nimekubali hizi timu zimeingia kwenye mtego wa kipumbavu kweli yani kwamba jezi nyeusi anazovaa yanga ndio zinaipa ushindi🤣🤣 Tahaira pekee e anayeweza kuamini upuuzi wa namna iyo,,,ushindwe kufanya usajiri makini alafu ukae kuendekeza imani za kipimbi kama izo unaweza kushuka daraja mamaee