Jezi rasmi za Simba msimu wa 2024/25

Jezi ni kali hakuna ubishi. Lakini neno Sanda linalalamikiwa sana. Hata mimi at first point nimeona hilo neno ubongo uka click. Inakuwaje jopo zima lisione hiyo athari kwenye mauzo?
 
Jezi ni kali hakuna ubishi. Lakini neno Sanda linalalamikiwa sana. Hata mimi at first point nimeona hilo neno ubongo uka click. Inakuwaje jopo zima lisione hiyo athari kwenye mauzo?
wapuuzi sana Hawa,Sanda! Watavaa wenyewe sokoni yaaan wasitoe huo upuuzi.
 
Kuna shida na hawa designers wetu. Concept ni ile ile huwezi tofautisha jezi ya msimi huu na msimi mwingine!

Hazichochei mtu kushawishika kununua jezi ya msimu mpya!
 
Sanda Nazani ni kifupi cha mzabuni Sunderland kama sijakosea...

Mo sport na Sunderland wana biashara gani?

Hii Mo sport ni kampuni ya kutengeneza hizi Jezi au ni kampuni kama kampuni zingine lakini hewa?

Simba hapa tu kwenye kuzaja makolokocho huwa wana fanikiwa sana

Jezi mbaya sana... hakuna kitu labda hizo nyeupe ila tatizo hayo maneno maneno kama kanga. Hapa Mo sport, Mo cola, Mo Ubuyu, Mo Soap, Mo Ukwaju

Jezi moja matangazo lukuki...

Muwekezaji ana wanyanyasa sana aisee na bado anawadai hela zake za uwekezaji

Simba guvu moja! Kwisha

Mwaka huu mtapigwa hadi na Kibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…