Jezi rasmi za Simba msimu wa 2024/25

Jezi rasmi za Simba msimu wa 2024/25

Si wangeandika sandaland kuliko kujifanya wanaandika kwa kifupi wameharibu kila kitu wamewapa cha kuongea Yanga.
 
Mbona kinyonge sana, dah mmeshazikwa na sanda, ndiyo basi tena. Hiyo blue huwa kama za Azam.
 
Sema zinauzwa sana na mzuri..hiyo Sanda si wanheandika hivi:; Sunder
 
Screenshot_20240726_050019_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom