Jezi rasmi za Simba msimu wa 2024/25

Jezi rasmi za Simba msimu wa 2024/25

Kuna shida na hawa designers wetu. Concept ni ile ile huwezi tofautisha jezi ya msimi huu na msimi mwingine!

Hazichochei mtu kushawishika kununua jezi ya msimu mpya!
Ktk hii jezi kilichopendeza ni Nembo pekee
 
Sanda Nazani ni kifupi cha mzabuni Sunderland kama sijakosea...

Mo sport na Sunderland wana biashara gani?

Hii Mo sport ni kampuni ya kutengeneza hizi Jezi au ni kampuni kama kampuni zingine lakini hewa?

Simba hapa tu kwenye kuzaja makolokocho huwa wana fanikiwa sana

Jezi mbaya sana... hakuna kitu labda hizo nyeupe ila tatizo hayo maneno maneno kama kanga. Hapa Mo sport, Mo cola, Mo Ubuyu, Mo Soap, Mo Ukwaju

Jezi moja matangazo lukuki...

Muwekezaji ana wanyanyasa sana aisee na bado anawadai hela zake za uwekezaji

Simba guvu moja! Kwisha

Mwaka huu mtapigwa hadi na Kibu
Sasa hapo kwenye kulalamikia matangazo ni ule mwendelezo wa wabongo kuwa wavivu wa kufikiri. Wewe utakuwa mmoja wapo
 
Hiyo haina kono la nyani kule nyuma??
Maana ile ilikua na kono sijui ndo mo sabuni sijui mo fondesheni.
 
Timu ya Simba imetambulisha rasmi jezi zake itakazozitumia msimu wa 2024/25.

Karibu kutazama uzi huo.

View attachment 3050879View attachment 3050880View attachment 3050882View attachment 3050875
Mbona nyuma
Timu ya Simba imetambulisha rasmi jezi zake itakazozitumia msimu wa 2024/25.

Karibu kutazama uzi huo.

View attachment 3050879View attachment 3050880View attachment 3050882View attachment 3050875
Kwa nyuma zimeandikwaje, Mo what?
 
Makosa n yale yale hiv huwa hawafikirii sanda ya nn wangeandika kabisa sandaland
 
Jezi nzuri sana wamejitahidi kwenye ubunifu ila neno Sanda halijakaa vizuri na nadhali litaathiri mauzo ya hizi jezi.
 
Wabongo bhana, yaani uwe mwanasimba halisi halafu uwe na pesa ya kutosha kununua jezi ila uache kisa Kuna neno SANDA?

Mbona tracksuit za FILA Huwa mnavaa?

Jezi ni nzuri na ntanunua kesho! #Ubaya,ubwela#
 
At least mngeweka SADA mtoto wa kitanga... Kuliko Sanda
 
Back
Top Bottom