Kapewa matako makuuuubwa kanyimwa akiliJezi ya Barcelona imeandikwa Samia badala ya Serengeti, Ngorongoro nk. CCM wametepeta. Hajali Nchi tena.
Halafu tunaionea wivu vist Rwanda
View attachment 3671425
No comment. Nisije nikaharibu.Na yeye ni mojawapo ya kivutio cha utalii.
Baba wakambo wa UVCCM👆🏾
Wow! Tanzania inasonga mbele.Jezi ya Barcelona imeandikwa Samia badala ya Serengeti, Ngorongoro nk. CCM wametepeta. Hajali Nchi tena.
Halafu tunaionea wivu vist Rwanda
View attachment 3671425
Aibu utaona wewe🤣🤣Aibu sana
Huyu akinipa shuzi siliachi!.Kapewa matako makuuuubwa kanyimwa akiliView attachment 3671599View attachment 3671600
Uchawa uchawa tu na kulamba miguu ya SSH kisa teuzi za kipuuzi..sasa huko kaenda kuiwakilisha Tanzania au kaenda kumuwakilisha hawara yake
Kwa hyo Rwanda ni wapuuz sio?Acheni ushamba, jezi huandikwa majina ya watu na si sehemu wala vivutio!
Watu wamenishangaza sana. Maandishi ya jezi kwa mbele ndo yapo kibiashara kutangaza vitu. Ila kwa nyuma majina ya watu ndo huandikwa.Acheni ushamba, jezi huandikwa majina ya watu na si sehemu wala vivutio!
Jezi ya Barcelona imeandikwa Samia 10 badala ya Serengeti, Ngorongoro nk. CCM wametepeta. Hajali Nchi tena.
Halafu tunaionea wivu vist Rwanda
View attachment 3671425
View attachment 3671625
View attachment 3671629
Hili nalo mkalitazame.Jezi ya Barcelona imeandikwa Samia 10 badala ya Serengeti, Ngorongoro nk. CCM wametepeta. Hajali Nchi tena.
Halafu tunaionea wivu vist Rwanda
View attachment 3671425
View attachment 3671625
View attachment 3671629
neva evaKwa hyo Rwanda ni wapuuz sio?
kuna ma empty sets kibao humu na wafuata mkumbo wasiojua hata kutumia akili zao mkuu!!Watu wamenishangaza sana. Maandishi ya jezi kwa mbele ndo yapo kibiashara kutangaza vitu. Ila kwa nyuma majina ya watu ndo huandikwa.