vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Kama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake.
Yanga wakivaa zile jezi, wanakuwa na morali na hali ya juu, wanakuwa na kiwango kikubwa cha kufanya maamuzi sahihi na hawafanyi makosa ya mara kwa mara kwanzia tofauti kabisa na hii mijezi mengine. Kama Yanga watazitumia jezi zao sijui ni nyeusi au ni blue kwenye first na second leg ya michezo ya robo na nusu basi bila shaka watacheza fainali ya CAF confederation cup msimu huu.