naskia yanga kashampakata mtu huko kweliau??Kama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake.
Yanga wakivaa zile jezi, wanakuwa na morali na hali ya juu, wanakuwa na kiwango kikubwa cha kufanya maamuzi sahihi na hawafanyi makosa ya mara kwa mara kwanzia tofauti kabisa na hii mijezi mengine. Kama Yanga watazitumia jezi zao sijui ni nyeusi au ni blue kwenye first na second leg ya michezo ya robo na nusu basi bila shaka watacheza fainali ya CAF confederation cup msimu huu.
Kwa nini hujaandika kuwa watachukua kombe na umeishia kuandika watacheza fainali tu. Huamini jezi hiyo itawapa kombe!?Kama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake.
Yanga wakivaa zile jezi, wanakuwa na morali na hali ya juu, wanakuwa na kiwango kikubwa cha kufanya maamuzi sahihi na hawafanyi makosa ya mara kwa mara kwanzia tofauti kabisa na hii mijezi mengine. Kama Yanga watazitumia jezi zao sijui ni nyeusi au ni blue kwenye first na second leg ya michezo ya robo na nusu basi bila shaka watacheza fainali ya CAF confederation cup msimu huu.
Unaweza kuchukua kombe pasipo kucheza fainali? Nimezungumzia kwanza kufika fainali. Kuchukua kombe hilo ni swala jepesi zaidi pindi akishafuzu kucheza fainaliKwa nini hujaandika kuwa watachukua kombe na umeishia kuandika watacheza fainali tu. Huamini jezi hiyo itawapa kombe!?
Mimi sio mfwatiliaji but I hope ipo siku mtapoteza coz mchezo wa mpira unamatokeo matatu, kushinda, kufungwa na kudroo. So I hope🤔Kama ni nadhria ya ajabu basi niambie ni lini yanga imepoteza mechi ikiwa imevalia jezi ya rangi nyeusi/ dark blue
Kwa mantiki iyo, basi mngekuwa mabingwa wa Dunia.Endelea kusubiria siku
Umeshakuwa blinded 😎😎Ndio inawezekana kuwa mabingwa wa dunia kama wataitumia kwa kila mchezo
Ni kweli WANANCHI tulikuwa na kazi kidogo kule Congo tumeshamaliza.naskia yanga kashampakata mtu huko kweliau??
Kwa nini hujaandika kuwa watachukua kombe na umeishia kuandika watacheza fainali tu. Huamini jezi hiyo itawapa kombeKama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake.
Yanga wakivaa zile jezi, wanakuwa na morali na hali ya juu, wanakuwa na kiwango kikubwa cha kufanya maamuzi sahihi na hawafanyi makosa ya mara kwa mara kwanzia tofauti kabisa na hii mijezi mengine. Kama Yanga watazitumia jezi zao sijui ni nyeusi au ni blue kwenye first na second leg ya michezo ya robo na nusu basi bila shaka watacheza fainali ya CAF confederation cup msimu huu.
Mbona umezungumzia nusu fainali pia wakati bado hajacheza robo fainali!? Ukishasema jezi ina faida kwao haina na watatoboa robo na nusu na kucheza fainali, nini kinakuzuia kusema watashinda fainali na kuleta kombe. Au huna imani na unachokiandika!?Unaweza kuchukua kombe pasipo kucheza fainali? Nimezungumzia kwanza kufika fainali. Kuchukua kombe hilo ni swala jepesi zaidi pindi akishafuzu kucheza fainali
WagwanKama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake.
Yanga wakivaa zile jezi, wanakuwa na morali na hali ya juu, wanakuwa na kiwango kikubwa cha kufanya maamuzi sahihi na hawafanyi makosa ya mara kwa mara kwanzia tofauti kabisa na hii mijezi mengine. Kama Yanga wawatazitumia jezi zao sijui ni nyeusi au ni blue kwenye first na second leg ya michezo ya robo na nusu basi bila shaka watacheza fainali ya CAF confederation cup msimu huu.