Jezi ya Taifa Stars ni kama jezi za klabu za ligi kuu

Lech Poznan

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2025
Posts
783
Reaction score
1,211
Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni Nzuri yani hata watazamaji majukwaani wanevaa zinawapendeza sana, Kingine inaonyesha Wananchi Watanzania bado masikini sana wakipato.

Ukitaka kujua sisi bado tupo Nyumba jaribu kuangalia watazamaji wa mechi za mashindano ya Caf utaona wananchi kutoka Mataifa Mengine wamependeza na jezi zao,wazuri na wanaonekana wana maisha mazuri, Tofauti Watanzania shida nini CCM imetufanya Wananchi tuwe wanyonge na tusiwe na Utamaduni wa kutembea nje ya nchi.
 
Kikao cha mwisho tulikubaliana kuachana na mpira wa Bongo TUPO BUSY. Nashangaa unasikitika nini?
 
Mkuu Bora umesema nimekua sifurahishwi na hizo jeI mpaka najiuliza nani alie buni hizo jezi? Si Bora NINGE pewa tenda mimi
 
Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni Nzuri yani hata watazamaji majukwaani wanevaa zinawapendeza sana, Kingine inaonyesha Wananchi Watanzania bado masikini sana wakipato.

Ukitaka kujua sisi bado tupo Nyumba jaribu kuangalia watazamaji wa mechi za mashindano ya Caf utaona wananchi kutoka Mataifa Mengine wamependeza na jezi zao,wazuri na wanaonekana wana maisha mazuri, Tofauti Watanzania shida nini CCM imetufanya Wananchi tuwe wanyonge na tusiwe na Utamaduni wa kutembea nje ya nchi.
jezi ipi unayoizungumzia maana zipo nyingi?
 
Screenshot_20251225-080922.jpg
 
Umeziona jezi za Cameroon zilivyo? Nigeria? Bora hata sisi aisee
 
Mkuu jezi iliyotengezwa na Ksmpuni ya Puma, Nike, Adidas izidiwe na jezi iliyotengezwa mitaani ?
Si umeongelea mvuto Mkuu? Jezi ya Tanzania ina mvuto kuzidi hata jezi za hizo team mbili Nigeria na Cameroon hizo ndo jezi mbaya kuliko zote kwenye mashindano haya
 
Back
Top Bottom