Jezi ya Taifa Stars ni kama jezi za klabu za ligi kuu

Jezi ya Taifa Stars ni kama jezi za klabu za ligi kuu

Si umeongelea mvuto Mkuu? Jezi ya Tanzania ina mvuto kuzidi hata jezi za hizo team mbili Nigeria na Cameroon hizo ndo jezi mbaya kuliko zote kwenye mashindano haya
Hivi unajua mchakato wanaotumia Kampuni kama adidas, Puma, Jordan, kwenye kutengeneza jezi utalinganisha jezi zao na huo uchafu wa CCM?
 
Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni Nzuri yani hata watazamaji majukwaani wanevaa zinawapendeza sana, Kingine inaonyesha Wananchi Watanzania bado masikini sana wakipato.

Ukitaka kujua sisi bado tupo Nyumba jaribu kuangalia watazamaji wa mechi za mashindano ya Caf utaona wananchi kutoka Mataifa Mengine wamependeza na jezi zao,wazuri na wanaonekana wana maisha mazuri, Tofauti Watanzania shida nini CCM imetufanya Wananchi tuwe wanyonge na tusiwe na Utamaduni wa kutembea nje ya nchi.
1766641970078.png

1766642014800.png

Jezi ya Shakhtar Donetsk ya Ukraine
 
Tatizo sio kampuni gani inatengeneza mleta mada ameongelea mvuto

This round tumejitahidi jezi zetu zinavutia sana ukilinganisha na Cameroon na Nigeria ule ndo wa kuitwa uchafu sasa
Hivi unajua mchakato wanaotumia Kampuni kama adidas, Puma, Jordan, kwenye kutengeneza jezi utalinganisha jezi zao na huo uchafu wa CCM?
 
Si umeongelea mvuto Mkuu? Jezi ya Tanzania ina mvuto kuzidi hata jezi za hizo team mbili Nigeria na Cameroon hizo ndo jezi mbaya kuliko zote kwenye mashindano haya
Siyo kweli ukitakujua jezi hazina mvuto waangalie Washabiki majukwani waliovaa jezi za timu ulizozitaja na Ufananishe na Walivaa Watanzania utapata jibu Jezi gani zinawapendeza wavaaji
 
JEZI YA TAIFA STARS NI HII NA ITAENDELES KUWA HII. HIZO ZA WANAMITINDO ZIMAZOBADILIKA KILA SIKU SIZITAMBUI. SIJAWAHI ONA NCHI INABADILI JEZI ZA TIMU YA TAIFA
 

Attachments

  • Screenshot_2025-12-25-21-13-56-77_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2025-12-25-21-13-56-77_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    204.9 KB · Views: 18
Back
Top Bottom