Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Mimi nimeziona kwenye TV wakiwa wamevaa jana Wakiwa wanacheza Mechi na Nigeria.Hiyo jessy iko wapi
USSR
Kikao cha mwisho tulikubaliana kuachana na mpira wa Bongo TUPO BUSY. Nashangaa unasikitika nini?Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni Nzuri yani hata watazamaji majukwaani wanevaa zinawapendeza sana, Kingine inaonyesha Wananchi Watanzania bado masikini sana wakipato.
Ukitaka kujua sisi bado tupo Nyumba jaribu kuangalia watazamaji wa mechi za mashindano ya Caf utaona wananchi kutoka Mataifa Mengine wamependeza na jezi zao,wazuri na wanaonekana wana maisha mazuri, Tofauti Watanzania shida nini CCM imetufanya Wananchi tuwe wanyonge na tusiwe na Utamaduni wa kutembea nje ya nchi.
Mchi za wenzetu jezi zao nzuri Mashabiki wao wanapendeza sana.Ukiivaa hiyo jezi unaonekana kama tambala la deki limetundikwa juu ya mpapai.
Umesahau Tanzania ina rank kubwa kwenye list ya nchi ambaO raia wake hawana furaha?Mchi za wenzetu jezi zao nzuri Mashabiki wao wanapendeza sana.
UKRAINE, SHAKHTAR DONETSK, Jezi zao za msimu uliyopita zinafanana na Jezi za Taifa starsSHAKHTAR Ni ya uturuki?
Hiyo jezi ya stars ni ya lini?UKRAINE, SHAKHTAR DONETSK, Jezi zao za msimu uliyopita zinafanana na Jezi za Taifa stars
Yatokea Mwaka jana naona wanavaa, Niliingundua jezi ya Taifa Stars inafanana na jezi ya SHAKHTAR kwenye Mashinda ya Vilabu ya UEFAHiyo jezi ya stars ni ya lini?
Jezi ya mwaka juzi,hata mabango ya Yas yanafanana na bendera ya UkraineYatokea Mwaka jana naona wanavaa, Niliingundua jezi ya Taifa Stars inafanana na jezi ya SHAKHTAR kwenye Mashinda ya Vilabu ya UEFA
jezi ipi unayoizungumzia maana zipo nyingi?Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni Nzuri yani hata watazamaji majukwaani wanevaa zinawapendeza sana, Kingine inaonyesha Wananchi Watanzania bado masikini sana wakipato.
Ukitaka kujua sisi bado tupo Nyumba jaribu kuangalia watazamaji wa mechi za mashindano ya Caf utaona wananchi kutoka Mataifa Mengine wamependeza na jezi zao,wazuri na wanaonekana wana maisha mazuri, Tofauti Watanzania shida nini CCM imetufanya Wananchi tuwe wanyonge na tusiwe na Utamaduni wa kutembea nje ya nchi.
shaktar donesk si wanavaa jezi kama za zambia na berkane mana nachojua mm rangi yao ni orange na nyeusiUKRAINE, SHAKHTAR DONETSK, Jezi zao za msimu uliyopita zinafanana na Jezi za Taifa stars
Hii waliovaa kwenye Mechi ya Nigeriajezi ipi unayoizungumzia maana zipo nyingi?
Mkuu jezi iliyotengezwa na Ksmpuni ya Puma, Nike, Adidas izidiwe na jezi iliyotengezwa mitaani ?Umeziona jezi za Cameroon zilivyo? Nigeria? Bora hata sisi aisee
Si umeongelea mvuto Mkuu? Jezi ya Tanzania ina mvuto kuzidi hata jezi za hizo team mbili Nigeria na Cameroon hizo ndo jezi mbaya kuliko zote kwenye mashindano hayaMkuu jezi iliyotengezwa na Ksmpuni ya Puma, Nike, Adidas izidiwe na jezi iliyotengezwa mitaani ?