Jezi ya Taifa Stars ni kama jezi za klabu za ligi kuu

Si umeongelea mvuto Mkuu? Jezi ya Tanzania ina mvuto kuzidi hata jezi za hizo team mbili Nigeria na Cameroon hizo ndo jezi mbaya kuliko zote kwenye mashindano haya
Hivi unajua mchakato wanaotumia Kampuni kama adidas, Puma, Jordan, kwenye kutengeneza jezi utalinganisha jezi zao na huo uchafu wa CCM?
 


Jezi ya Shakhtar Donetsk ya Ukraine
 
Tatizo sio kampuni gani inatengeneza mleta mada ameongelea mvuto

This round tumejitahidi jezi zetu zinavutia sana ukilinganisha na Cameroon na Nigeria ule ndo wa kuitwa uchafu sasa
Hivi unajua mchakato wanaotumia Kampuni kama adidas, Puma, Jordan, kwenye kutengeneza jezi utalinganisha jezi zao na huo uchafu wa CCM?
 
Si umeongelea mvuto Mkuu? Jezi ya Tanzania ina mvuto kuzidi hata jezi za hizo team mbili Nigeria na Cameroon hizo ndo jezi mbaya kuliko zote kwenye mashindano haya
Siyo kweli ukitakujua jezi hazina mvuto waangalie Washabiki majukwani waliovaa jezi za timu ulizozitaja na Ufananishe na Walivaa Watanzania utapata jibu Jezi gani zinawapendeza wavaaji
 
JEZI YA TAIFA STARS NI HII NA ITAENDELES KUWA HII. HIZO ZA WANAMITINDO ZIMAZOBADILIKA KILA SIKU SIZITAMBUI. SIJAWAHI ONA NCHI INABADILI JEZI ZA TIMU YA TAIFA
 

Attachments

  • Screenshot_2025-12-25-21-13-56-77_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    204.9 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…