Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
 
Nataka nianze Kuivaa / Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
Hivi huyu Mzee Nimrod Mkono amezikwa Marekani au kitu gani kinaendelea?
 
Popoma maana yake nini
Popoma ni Neno la Kiubunifu lililobuniwa nami GENTAMYCINE mwaka 2013 nilipojiunga hapa JamiiForums likiwa na maana ya Pumbavu au Mpumbavu.

Ni neno nililolitohoa Kiufundi na Kiubunifu kutoka kwa maneno Mawili ya Lugha za Kizaramo na Kindengereko na nikalipata.

Nafurahi na najivunia sana Kuona na Kusikia neno langu buniwa la Popoma limejizodlea Sifa Kubwa ya Kimatumizi hapa JamiiForums na hata huko Kwingineko.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Cc: Tate Mkuu
 
Back
Top Bottom