Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

[emoji16]
IMG-20221129-WA0280.jpg
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ulozi wako unaenda na matukio kifupi wewe ni tapeli
I never thought unaweza kuniita tapeli kwa sababu tu ya tofauti za kimitazamo! Well haya ni makasiriko yaliyovuka mipaka kwahiyo kutoka rohoni NIMEKUSAMEHE
 
  • Thanks
Reactions: K11
I never thought unaweza kuniita tapeli kwa sababu tu ya tofauti za kimitazamo! Well haya ni makasiriko yaliyovuka mipaka kwahiyo kutoka rohoni NIMEKUSAMEHE
Labda nmetumia neno gumu sija maanisha mpigaji maana yangu ni tapeli wa maneno mbaya zaidi uganga wako upo ki hisia kuliko ukweli, nlikushangaa ulipo teteta kitendo cha Simba kuleta jeneza uwanjani ukasema haiana shida kiroho ila jezi yenye majengo sasa leo tuambie kati ya hizi timu mbili nani ana taabika?
 
Ni haki yako kabisa kunishangaa bullar kama ukiwa na mtazamo kimo cha mbilikimo kwa maana ya kwamba hutaki kukubaliana na mitazamo ya wengine..
Kwenye ishu ile ya jeneza nilifafanua vizuri sana hata asili ya jeneza lenyewe na nikatumia maneno fear of the unknown ! Jeneza ni mbao tu zile hakuna zaidi ya hapo!
Kuhusu kwamba ni timu gani ' itaaibika' hili nalo umepeyanga kidogo, kwenye michezo hasa huu wa soka kuna mengi sana nyuma ya matokeo yake.. Lakini vyovyote vile iwavyo kuna matokeo matatu
Sare/suluhu
Kufunga
Kufungwa
Kamwe wote hatuwezi kuwa SIMBA na kamwe wote hatuwezi kuwa yanga kila mmoja ana kimoja anachokipenda..
SIMBA akishinda ni furaha kwa wapenzi na mashabiki wa SIMBA. Na Yanga nayo ikishinda ni furaha kwa wapenzi na mashabiki wao
SIMBA akishindwa ni furaha ya Yanga na yanga akishindwa ni furaha ya SIMBA

Nilichoandika kuihusu jezi ya yanga kama wewe ni mwanafunzi na mshabiki wa mambo ya kiroho utaona sikupuyanga hata kidogo! Na kukuthibitishia hilo jiulize ni kwanini wakaamua kubadili jezi na mengine yote yaliyotokea baada ya hapo! Je ni coincidence?
Tujifunze kubishana kwa hoja ndio maana tunaitwa great thinkers
 
Siwezi kukuita great thinker kwa matukio ya kufoji foji
 
Sio lazima uniite ni mtazamo wako BTW hukuelewa hata nilichoandika
..Tujifunze kubishana kwa hoja ndio maana tunaitwa great thinkers
 
Mi nilichomuelewa mtoa mada kamaanisha jezi ya njano yenye michoro mingi
Lkn pia naona Yanga hio jezi hawapendelei kuivaa nafkiri Kuna Jambo wamegundua
 
Wew unachuki binafsi tu na mzee wetu mshana
Kipigo cha jana na timu inayoshika mkia kwenye msimamo wa ligi kimewaumiza mnoo...[emoji23] Ni kitu ambacho hawakukitegemea kabisa.. Jana walitaka kuandika rekodi ya 50 unbeaten! IHEFU ikawakataa... [emoji23] kuna maumivu yake makali mno ujue
 
Jana na leo wanayanga huwaoni kwenye hii mada baada ya Ihefu kupindua meza .. Lakini Yanga kama jana ingeshinda uuuwiii pasingetosha hapa! [emoji23]mbaya zaidi kulikuwa na mzozo wa jezi, halafu muktadha wa hii mada ni jezi...![emoji23]
 
Wew unachuki binafsi tu na mzee wetu mshana
Sina chuki nae hua namkubali sana tatizo lake ikifika swala la ushabiki hua anahama njia anaototeza facts za uongo uongo kuna kama mechi mbili za Yanga na Simba kani ingiza chaka kwa ujanja ujanja maelezo meengi kumbe ushabiki nikamfata kwenye mikeka kumbe hakuna kitu, basi atuambie timu yenye jezi nyepesi ili tuone tofauti maana kama nzito ipo na nyepesi ipo pia
 
Kipigo cha jana na timu inayoshika mkia kwenye msimamo wa ligi kimewaumiza mnoo...[emoji23] Ni kitu ambacho hawakukitegemea kabisa.. Jana walitaka kuandika rekodi ya 50 unbeaten! IHEFU ikawakataa... [emoji23] kuna maumivu yake makali mno ujue
Ukweli ni kwamba mimi sio shabiki wa mpira hata huko kwenye jukwaa la sports hua napita nadra sana uongo wako ni kwamba hata jezi walio vaa jana sio ile ulio isema wewe ndio maana nasema fact's zako ni za kuunga unga
N:b Jezi walio vaa jana ndio hio walivaa kwenye ngao ya hisani wakashinda kubali tu hapa umepuyanga
 
Back
Top Bottom