Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Uganga ni aina ya utapeli pia,, jamaa wanacheza sana na saikolojia
 
Yanga wanatumia Jezi Moja nyeusi.

Tangu walipocheza na CLUB AFRICANE. wakashinda ugenini.

Hawajawahi kubadirisha hata siku Moja.

Yani wanavaa jezi ya ugenini ilhali wapo nyumbani.

Ni mwendo wa Black.

MSIMSUMBUE KAKA YANGU MSHANA YUPO SAWA KABISA.
 
Jezi imekuwa nzito, Yanga hatoki pale kileleni.
 
Yanga wanatumia Jezi Moja nyeusi.

Tangu walipocheza na CLUB AFRICANE. wakashinda ugenini.

Hawajawahi kubadirisha hata siku Moja.

Yani wanavaa jezi ya ugenini ilhali wapo nyumbani.

Ni mwendo wa Black.

MSIMSUMBUE KAKA YANGU MSHANA YUPO SAWA KABISA.
Nani kakuambia jezi nyeusi ni ya ugenini? vaeni basi na nyie tuone kama itawasaidia
 
Yanga wanatumia Jezi Moja nyeusi.

Tangu walipocheza na CLUB AFRICANE. wakashinda ugenini.

Hawajawahi kubadirisha hata siku Moja.

Yani wanavaa jezi ya ugenini ilhali wapo nyumbani.

Ni mwendo wa Black.

MSIMSUMBUE KAKA YANGU MSHANA YUPO SAWA KABISA.
Maandishi yangu waliyafanyia kazi na baadhi walinifuata mpaka PM.. Hawa wanaochetuka huku JF ni wa kuwaangalia tuu
 
@Mshana Jr hapa ulipuyanga kwa heshima yako tuombe radhi
bullar SIMBA atabaki kuwa SIMBA.. I thought mngenishukuru kwa post iliyowazindua ....

A lion eating the sun. Detail from the Alchemical and Rosicrucian compendium - c.1760. Credit: Beinecke Rare Book & Manuscript Library.
20221128_214923.jpg
 
Ninakukubali sana kaka Mshana.

Yanga Leo wamefunga kisa Kugombea jezi nyeusi.

Bila Nguo nyeusi wanakuwa wa KAWAIDA sana.

WANAFUNGWA HADI NA IHEFU.
 
Back
Top Bottom