Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 thats the whole point. Yani ilibidi uanze post kabisa na disclaimer ya kijanja. Nakukubali mkuu.Mbona ndivyo nilivyoandika? Au sikuandika hivyo tena mwanzoni mwa mada?
Jezi imekuwa nzito, Yanga hatoki pale kileleni.Yanga wanatumia Jezi Moja nyeusi.
Tangu walipocheza na CLUB AFRICANE. wakashinda ugenini.
Hawajawahi kubadirisha hata siku Moja.
Yani wanavaa jezi ya ugenini ilhali wapo nyumbani.
Ni mwendo wa Black.
MSIMSUMBUE KAKA YANGU MSHANA YUPO SAWA KABISA.
Nani kakuambia jezi nyeusi ni ya ugenini? vaeni basi na nyie tuone kama itawasaidiaYanga wanatumia Jezi Moja nyeusi.
Tangu walipocheza na CLUB AFRICANE. wakashinda ugenini.
Hawajawahi kubadirisha hata siku Moja.
Yani wanavaa jezi ya ugenini ilhali wapo nyumbani.
Ni mwendo wa Black.
MSIMSUMBUE KAKA YANGU MSHANA YUPO SAWA KABISA.
Maandishi yangu waliyafanyia kazi na baadhi walinifuata mpaka PM.. Hawa wanaochetuka huku JF ni wa kuwaangalia tuuYanga wanatumia Jezi Moja nyeusi.
Tangu walipocheza na CLUB AFRICANE. wakashinda ugenini.
Hawajawahi kubadirisha hata siku Moja.
Yani wanavaa jezi ya ugenini ilhali wapo nyumbani.
Ni mwendo wa Black.
MSIMSUMBUE KAKA YANGU MSHANA YUPO SAWA KABISA.
@Mshana Jr hapa ulipuyanga kwa heshima yako tuombe radhiTuliposema jezi ni nzito hamkuamini? Kocha ana shida gani sasaView attachment 2405548
Kukubali kua ulipuyanga sio udhaif jifunzebullar SIMBA atabaki kuwa SIMBA.. I thought mngenishukuru kwa post iliyowanduzua ....
A lion eating the sun. Detail from the Alchemical and Rosicrucian compendium - c.1760. Credit: Beinecke Rare Book & Manuscript Library.View attachment 2430085