Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Niliandika hivi..
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
Ulifanya la maana kusepa kilingeni maana sahivi umekua kama mtu wa kubet tu hisia zinakuendesha kuliko uhalisia
 
Wewe ndo mganga wa Makolo nakuaminia.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi fix kuna watu wanaweza wakawa wanaziamini kutokana na uelewa wao mdogo. Umeandika porojo tu ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Tuliposema jezi ni nzito hamkuamini? Kocha ana shida gani sasa
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…