Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #81
Umenena vizuri sana kwamba zimebeba nafsi za watu.. Hapa hakuna shida kabisa kwakuwa hii ni jamii moja, za mwaka huu zina maumbo ya kila aina .. Kwahiyo kuna nguvu hasi na chanya zinapishana humoNimesoma neno hadi neno, nimeelewa na ndio maana nimekupa reference ya jezi ya msimu uliopita ambayo nayo ilibeba nafsi/roho za watu kwa kielelezo cha jina la wananchi...
Au labda uniambie kuwa wananchi hawana roho...
Soma tena hapa nilichoandika kwenye mada kuu[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Maumbo pia yana nguvu kubwa sana kiroho, na ndio maana watu huchukua muda mwingi kubuni ama kutumia umbo lenye uhai ama connection na roho.. Hapa sizungumzii uchawi na ushirikina vilabuni.. Ukitaka kujua nguvu ya maumbo tembelea majumba ya maonesho yenye maumbo na picha za vitu mbalimbali na ukae sehemu ya utulivu.. Hisia utakazopata ni tofauti kabisa na hisia utakazopata utakapoingia jumba lisilo na mapichapicha.. Hivi vitu huumba roho..
Michoro hasa yenye kuwakilisha vitu vyenye uhai hii ndio huwa hatari zaidi kama isipochaguliwa kwa umakini mkubwa.. Michoro ya maeneo, viumbe hai na chochote chenye kiasili na uhai imebeba maroho mazuri na mabaya