Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Upumbavu kuwaza ushirikina mda wotePoleni sana nawashauri mpumzike sasa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu kuwaza ushirikina mda wotePoleni sana nawashauri mpumzike sasa..
Sio lazima kukariri.....you are the master of your own matrix......Unajua kwanini kinachoitwa mavazi rasmi huwa na rangi moja iliyotulia na zile ng'are ng'are zenye mapichapicha huvaliwa na barobaro?[emoji23]
Hapo kuna uniformity .. Sio randomly na sio vitu vingi kwa wakati mmoja kila kimoja na asili yake.. Hapo unaona kabisa kuna formula na kwa 90% hakuna uasili wa rohoSio lazima kukariri.....you are the master of your own matrix......
Hao Ghana na Cameroon na world cup wamecheza na anaenda kucheza tena..
....wewe na Taifa stars majezi plain hadi leo kombe tu la Afrika majanga.......ingekua hivyo kama usemayo wewe basi hawa wangekua na magundu ya kutosha View attachment 2310616View attachment 2310617View attachment 2310618View attachment 2310619
Hahahaha[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2310620View attachment 2310621
Usingewastua.Hahahaha
Ngoja msimu uanze............jambo linapata nguvu pale tu unapoliamini, na kwenye ulimwengu wa kiroho mambo hayapo fixed, hio nayo ni kama sanaa kikubwa ni nguvu unayoiweka nyuma ya kile unachotaka kiweHapo kuna uniformity .. Sio randomly na sio vitu vingi kwa wakati mmoja kila kimoja na asili yake.. Hapo unaona kabisa kuna formula na kwa 90% hakuna uasili wa roho
Rudia kusoma hiki nilichoandika
Maumbo pia yana nguvu kubwa sana kiroho, na ndio maana watu huchukua muda mwingi kubuni ama kutumia umbo lenye uhai ama connection na roho.. Hapa sizungumzii uchawi na ushirikina vilabuni.. Ukitaka kujua nguvu ya maumbo tembelea majumba ya maonesho yenye maumbo na picha za vitu mbalimbali na ukae sehemu ya utulivu.. Hisia utakazopata ni tofauti kabisa na hisia utakazopata utakapoingia jumba lisilo na mapichapicha.. Hivi vitu huumba roho..
Michoro hasa yenye kuwakilisha vitu vyenye uhai hii ndio huwa hatari zaidi kama isipochaguliwa kwa umakini mkubwa.. Michoro ya maeneo, viumbe hai na chochote chenye kiasili na uhai imebeba maroho mazuri na mabaya
Now you are talking..[emoji1545]Ngoja msimu uanze............jambo linapata nguvu pale tu unapoliamini, na kwenye ulimwengu wa kiroho mambo hayapo fixed, hio nayo ni kama sanaa kikubwa ni nguvu unayoiweka nyuma ya kile unachotaka kiwe
Labda ni kwakuwa umechangia kwa kusoma heading tu na si maudhui yote.. Am la HUKUELEWA..!
Kila jambo la kimwili huanzia rohoni.. Unaweza kuniambia ni kwanini mashabiki wenyewe wa yanga wameikataa jezi yao? Maana tusiishie tu kusema ni mbaya.. Ubaya wake upo kwenye nini? Nitakwambia kitu YALE MAUMBO YANAOGOFYAHayo masuala ya kiroho siyo kweli ila jezi ya kijani msimu huu ni mbaya sana na itawatia hasara GSM. Msimu ujao Ngowi akae pembeni kidogo au wafanye screening kubwa kabla ya production.