mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Bonanza Hilo wala siyo ligi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonanza Hilo wala siyo ligi
Tuwameshona midomo 😂Na jezi nzito lakini wapiView attachment 2323339
Naona makolo sasa ndio mtakua na adabuSafari hii wachezaji wataota nundu migongoni. Siyo kazi nyepesi kucheza huku ukiwa na mzigo wa magofu ya misukule mgongoni na utando wa buibui .
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nachopenda kila siku unakua wrong pale unapojaribu kumrithi sheikh yahya
hahahaha dahMsimu uliopita jezi ya njano ilikuwa na maroho mengi ya watu ila waliibuka mabingwa.... anyway tusubirie msimu mpya.
mwisho ataonekana tapeliNachopenda kila siku unakua wrong pale unapojaribu kumrithi sheikh yahya
Na akomi kuwatia uzuzu makolo wa humu kila akiwatabiria wanamsapoti na inakua kinyume ila kwa umbu3 wao uwa wanamuaminimwisho ataonekana tapeli
Utoto unakusumbua tu 2-1Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
Rangi, maumbo na michoro kiroho huwakilisha vitu vikubwa sana.. Na in fact hesabu za kiroho ziko kwenye hayo mambo matatu..RANGI, MAUMBO NA MICHORO...!
Kwenye rangi sio ishu tena kwakuwa waliozichagua walishazipitisha na zikapata kibali cha kiroho... Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani.. Soma vitabu hivi kama rejea Green Traveller na The Hog!
Maumbo pia yana nguvu kubwa sana kiroho, na ndio maana watu huchukua muda mwingi kubuni ama kutumia umbo lenye uhai ama connection na roho.. Hapa sizungumzii uchawi na ushirikina vilabuni.. Ukitaka kujua nguvu ya maumbo tembelea majumba ya maonesho yenye maumbo na picha za vitu mbalimbali na ukae sehemu ya utulivu.. Hisia utakazopata ni tofauti kabisa na hisia utakazopata utakapoingia jumba lisilo na mapichapicha.. Hivi vitu huumba roho..
Michoro hasa yenye kuwakilisha vitu vyenye uhai hii ndio huwa hatari zaidi kama isipochaguliwa kwa umakini mkubwa.. Michoro ya maeneo, viumbe hai na chochote chenye kiasili na uhai imebeba maroho mazuri na mabaya
Kwa kutaka utofauti lakini bila kuzingatia mambo haya ya kiroho.. Timu ya Yanga msimu huu imekuja na jezi zilizoelemwa na michoro ya maeneo mbalimbali ya mji wa Dar na kwingineko na vitu vingjne pia vinavyowakilisha mpaka GPS nadhani[emoji3]..
Matokeo yake jezi kimwonekano inakuwa nyepesi lakini kiroho imelemewa mnoo
Ina picha ya askari monument pale Posta... Ni mnara unaowakilisha roho zilizokufa vitani
Kuna michoro ya uwanja wa fisi[emoji24]
Kuna maeneo mbalimbali ya makaburi
Kuna kila aina ya michoro yenye kukumbusha machungu na mambo ya kuumiza pia.. Haya yote yamekusanywa kwenye kitambaa kisichozidi mita moja
Ni maroho mangapi kwa pamoja yanabebwa na mchezaji mmoja kwa wakati mmoja.. Hapo achilia mbali na yale mahirizi .. Mwisho mchezaji anajikuta ni mwepesi wa kilo 60 lakini akicheza utadhani ana kilo 135 kamili..[emoji23]
Ni mtazamo tuu wa kiroho tusitupiane mawee
ndio maana na hofu acjekua tapeliNa akomi kuwatua uzuzu makolo wa humu kila akiwatabiria wanamsapoti na inakua kinyume ila kwa umbu3 wao uwa wanamuamini
Peleka kuku kwa mgangaHuu uzi mwanzo niliuchukulia poa lakini sasa naanza kuuheshimu.
Nachopenda kila siku unakua wrong pale unapojaribu kumrithi sheikh yahya
Lete mdhunguuu
Mshana manyau nyauNiliandika hivi..
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
Tayari ishachukuwa ngao ya jamii, kuna misimu ilikuwa inatoka kapa. Hivyo hoja yako inakosa mashiko.Niliandika hivi..
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo