Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kosa gani mpaka ufutwe ?mpaka sasa hv huu uzi haujafutwa basi mtoa mada ana bahati au ni alwtan humu ndo maana uzi una survive,sasa jezi mzito na mambo ya green and yellow moto vp km wangevaa jezi nyepesi si wangeshakuwa mabingwa by nw
Leo wamevaa jezi nzito [emoji1787][emoji1787] rudisha Kuku wa watu mganga fakeUna kosa gani mpaka ufutwe ?
Leo wamevaa jezi nzito [emoji1787][emoji1787] rudisha Kuku wa watu mganga fake
Umehamisha magoli
Naona mnaongoza ligi
Naomba review ya Jezi nzito leta hata makala nitavumilia kusomaUnajua sasa hueleweki
Nisipoandika kitu unasema nimeikimbia mada
Nikijibu unasema comment fupi sio gazeti kama mada kuu
Nikiweka picha nahamisha magoli [emoji23]
Rudi kwenye mada kuu sijabadili hata nuktaNaomba review ya Jezi nzito leta hata makala nitavumilia kusoma
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app