Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Kumbe ndio maana hii mada leo imepoa haina zile purukushani za kumzodoa mleta mada!🤔😀

Club ya Yanga yaaga rasmi mashindano ya Mapinduzi Cup baada ya mechi kumalizika kwa sare ya 1-1
 
Wamshatafsiri huku.. Imagine kama mchezaji ana vinasaba na Hamza...View attachment 2309747
Dah, hivi kweli jamaa huyu yuko wapi siku hizi?

1673064271011.png
 
Leo kimya kabisa uzi umekimbiwa tangu mnyama alipofanya yake jana ugenini.. Tunasubiri mechi ya Yanga! Matokeo ndio yataamua uzi uvamiwe tena au ukimbiwe
[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20230416-WA0141.jpg
 
 
 
Hapa ulichemkma huu uzi ni wa matukio, timu yenye jezi nzito inapoteza mechi moja kwa mda interval ndefu kiasi hicho? au uzito upi unazungumzia
 
Hapa ulichemkma huu uzi ni wa matukio, timu yenye jezi nzito inapoteza mechi moja kwa mda interval ndefu kiasi hicho? au uzito upi unazungumzia
Karibuni tena kwenye huu uzi.. Huwa unafufuka watani wakicheza
 
We jamaa umekuja mda gani afu mbona kimya kimya kama ngwair?
Imebidi aje tu hivyohivyo kwa kujikakamua sana.. Maana walikuwa wameupania mbaya huu uzi kama wangeshinda [emoji23]
 
Nlikuuliza kama timu yenye jezi nzito inaongoza ligi, shirikisho ipo robo hao wenye jezi nyepesi ni kina nani? na wanamafanikio gani?
Robo ya nini?

Upo shirikisho kama starting point uliyoamza nayo tangu mwanzo au upo hapo baada ya kufeli somewhere?

Unafurahia kucheza mashindano ya last chance baada ya ku blow up your first chance?

Eti unaongoza ligi, hii kauli bado inaendelea kumea hata baada ya kipigo cha jana ina maana umeshindwa kupambanua kujua why mnaongoza ligi?
 
Back
Top Bottom