Jezi za Nigeria zatajwa kuwa ni nzuri kuliko zote kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018, nchini Russia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shem stakki kucheka mm bhana jioni hii aah[emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akitumia energy yote ya kuchagua kwako

He did a gud thing tho, haya madogo madogo msaidie
 
Namuelewa babe wangu jamanii,.mniachie mwenyewe mm nayy tutavaa za Ghana Ww na wifi Ney mtavaa za Nigeria,..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah shem usivae sare za wauguzi zile
Tutakununlia kitu ya naijeria mpya tuna ongeza na pair moja incase jamaa ata abadili mawazo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah shem usivae sare za wauguzi zile
Tutakununlia kitu ya naijeria mpya tuna ongeza na pair moja incase jamaa ata abadili mawazo
Me nilikuwa na ndoto za kuwa dokta Shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo ndoto itatimia kwa kuvaa jezi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…