Jezi za Timu za Taifa za Kombe la Dunia 2022

Jezi za Timu za Taifa za Kombe la Dunia 2022

Uzi wa Argentina wa home sijawahi kuulewa naona miaka yote fasheni ni moja haibadiliki hata huu mpya hauna tofauti na wa WC 2014 na miaka yote kwa ujumla.

Rangi nzuri ingependeza wangekuwa wanafanya kama Barcelona sio kila siku mistari iliyonyooka bora wangekua wanailaza wkt mwingine au kuwa nyeupe itawale na bluu bahari iwe kama za kunakshia tu.
 
Mleta mada Hapo kwenye kirefu cha ADIDAS umetufunga kamba.
Adidas comes from the names of its founder Adolf Dassler. Adolf alikiwa anatumia nick name ADI, na akachukua herufi 3 za mwanao kutoka jina la babake DASS kuunda ADIDAS
uongooooo,huo ni uongoo,uongo bwaaanaaa
 
USA home kit
AEA84021-51F5-4729-9791-EE36BF081207.jpeg
 
Kila bara nitanunua moja.

Africa nadhani wa Senegal.
 
Back
Top Bottom