nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
ifike wakati sasa brazili iachane na nike, hii jezi ni mbovu.Brazil home kitView attachment 2339590View attachment 2339591
uongooooo,huo ni uongoo,uongo bwaaanaaaMleta mada Hapo kwenye kirefu cha ADIDAS umetufunga kamba.
Adidas comes from the names of its founder Adolf Dassler. Adolf alikiwa anatumia nick name ADI, na akachukua herufi 3 za mwanao kutoka jina la babake DASS kuunda ADIDAS
Sure. Njano sijapenda iko kifungo.Brazil wa bluu haijawahi kuniangusha siku zote ni mkali.
Nigeria hawapo serious.Nigeria home kitView attachment 2357796
KwaniniNigeria hawapo serious.
Ilo jezi kama waimba Buga..Kwanini
Hii jezi unaendanayo ukweni kabisa