Jezi za Yanga za Champions League zaibua Taharuki Mashabiki wapanga kuandamana

Jezi za Yanga za Champions League zaibua Taharuki Mashabiki wapanga kuandamana

mijezi yetu ni mibaya
Mashabiki wa Yanga wamepigwa na Ubaridi mara baada ya Club hiyo Kongwe nchini Tanzania Kuzindua Jezi zinazofanana na matambala matambala

Ikumbukwe msimu huu hawakutoa Jezi nzuri hivyo wananachama na mashabiki walikua na imani kuwa huenda za kuchezea club bingwa zikawa na unafuu lakini wapi

Wanachama wameonekana wakiwaambia viongozi wao wawandalie na maneno ya kujitetea pale

watakaposhambuliwa kuhusiana na Jezi hizo mbovu kuwahi kutengenezwa katika historia ya club hiyo

View attachment 3504270View attachment 3504271View attachment 3504272
Itoshe kusema Tanzania hatuna wabunifu wa Jezi. Hata Sheria alikuwa anajitutumua tu lakini hapakuwa na ubunifu wowote pale! Ulaya bwana kuna Jezi! Majamaa wanasema hiyo ya Njano ni kama mfuko wa Kagera Sugar, huu hapa chini
 

Attachments

  • IMG-20251119-WA0007.jpg
    IMG-20251119-WA0007.jpg
    89.1 KB · Views: 15
😁😁😁 ila yanga kweli ni nyumbu.
 
Hizi zote ni trend za kututoa kwenye reli, nasema hakuna maridhiano na wahuni.
Sidhani kama ni trend, kwa wabongo wale wa zamani hata kama zingekuwa kali bado, ingekuwa ni trend!! Gen z iwe kali ama mbovu hakuna kutrend, naamini hawajafanyq kusudi ila wamepuyanga
 
Brother mbona unatutukana umeshachoka kutumia Jamii Forums?
Nchi ipo kwenye mambo mazito linakuja jitu na habari za kike hapa! tunafta miili ya ndugu zetu wengine Wana kesi za uhaini
 
Mimi sio shabiki wa Yanga ila kwa hizi jezi hapana aisee imekua too much sasa. Hivi designer wa sasa ni nani mbona imekua kama anakomoa.
 
Back
Top Bottom